Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao kutimia

  • | KBC Video
    24 views
    Duration: 2:16
    Kenya imejiunga na ulimwengu kuadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao kutimia huku vongozi wakitoa wito wa mikakati kabambe kuwekwa ili kupunguza vifo vya watoto hao. Wataalamu wa afya wanasema asilimia 13 ya watoto wanaozaliwa humu nchini huwa hawajatimia muda wao wa kuzaliwa, hali inayochangia ongezeko la vifo miongoni mwa watoto wachanga. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive