Skip to main content
Skip to main content

Hatimaye wakazi wa Kibiko, Kajiado wapokea stakabadhi za kumiliki ardhi

  • | KBC Video
    115 views
    Duration: 1:46
    Ni afueni kwa wakazi wa eneo la Kibiko, huko Ngong katika kaunti ya Kajiado baada ya kupokea stakabadhi za umiliki wa ardhi baada ya kushuhudia mizozo ya uongozi na utovu wa usalama kwa zaidi ya miongo miwili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive