- 28 viewsDuration: 2:55Wakenya wamehimizwa kuendeleza utamaduni wa kuweka akiba ili kuweza kujikimu katika siku za baadaye. wito huo ulitolewa wakati wa uzinduzi wa kadi ya malipo ya kidigitali iliyo salama ambayo inalenga Wakenya wa hapa nchini na ughaibuni Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive