Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Miradi ya Umeme

  • | KBC Video
    98 views
    Duration: 3:12
    Katika makala ya ifahamu China Miradi ya umeme unaotokana na maji ya Mengdigou na Yagen, Daraja la Kwanza nchini China, limefanikiwa kubadilisha mtiririko wa Mto Yalong kwa wakati mmoja. Hii ni hatua muhimu inayowezesha kuanza kwa awamu kuu ya ujenzi wa mabwawa na kuokoa muda na gharama kubwa za ujenzi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive