Skip to main content
Skip to main content

Rais aagiza unakili wa deta kuhusu vifo vya kina mama na watoto

  • | KBC Video
    145 views
    Duration: 3:51
    Kenya itakuwa na deta kamili ya vifo vya kina mama na watoto wachanga kufikia mwezi Machi mwaka 2026 ili kusaidia kudhibiti visa hivyo. Wizara ya afya imedai kuwa hospitali kadhaa hazijakuwa zikitoa ripoti kamili kuhusu vifo hivyo. Rais William Ruto alisema haya alipokabidhiwa msaada wa ambulensi na vifaa vya matibabu vyenye thamani ya dola milioni 2.5 kutoka shirika la afya ulimwenguni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive