Serikali imetoa hakikisho kuwa uadilifu wa mtihani wa kitaifa wa kidato cha nne – KCSE utadumishwa, huku mtihani huo ukitarajiwa kukamilika wiki hii. Waziri wa elimu Julius Ogamba alisema maandalizi ya usahihishaji wa mtihani huo yanaendelea, wasimamizi wa vituo vya mtihani wakijukumiwa kudumisha nidhamu wakati wa mtihani huo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive