Skip to main content
Skip to main content

Mwanamume wa umri wa makamo auawa mtaa wa South B akiwasilisha bidhaa

  • | KBC Video
    752 views
    Duration: 1:47
    KILIO CHA HAKI Maafisa wa polisi jijini Nairobi wanachunguza mauaji ya kikatili ya mwanamume wa umri wa makamo katika mtaa wa South B hapo jana. Inadaiwa Anthony Olwal alikuwa ameenda kuwasilisha bidhaa katika jumba la Meridian, kabla ya kifo chake kuripotiwa. Polisi wamesema wauaji wa mwanamume huyo mwenye umri wa miaka 30 wanasakwa baada ya kutoweka, huku familia ya marehemu ikitaka uchunguzi kamilifu wa mauaji hayo ufanywe. #Darubini Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive