- 27 viewsDuration: 1:33Wizara ya afya imekamilisha mkakati unaolengwa kuzuia vifo vya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wao kutimia. Kwa muuibu wa takwimu za wizara ya afya, watoto 92 huzaliwa kila siku humu nchini kabla ya muda wao kutimia. Vifo miongoni mwa watoto wanaozaliwa kabla ya muda wo kutimia hujumuisha asilimia 51 ya vifo vya watoto chini ya miaka mitano humu nchini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive