Skip to main content
Skip to main content

Familia yalalamikia hukumu ya miaka-5 kwa mshukiwa wa mauaji

  • | KBC Video
    235 views
    Duration: 1:26
    Kizaazaa kilizuka katika mahakama ya Ol-Kalou hivi leo, baada ya familia ya marehemu Angela Muthoni mwenye umri wa miaka 24, kupinga hukumu ya kifungo cha miaka mitano gerezani kilichotolewa kwa mshukiwa mkuu wa mauaji yake, na kuutaja uamuzi huo kuwa usio wa haki na wa kusikitisha. Hisia zilitawala huku jamaa wakidai hakuna shahidi aliyehojiwa katika kesi hiyo, ambayo ilianza miezi mitatu iliyopita. mengi zaidi kwenye mizani ya haki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive