Kundi la wasomi la Ramogi linatoa wito kwa wasomi, vijana na viongozi wa jamii ya Waluo kuunga mkono serikali ya rais William Ruto likisema ina manufaa mengi. Likihutubia wanahabari jijini Nairobi kundi hilo likiongozwa na mwenyekiti wake Joshua Nyamori lilisifia serikali ya rais William Ruto likisema imeonyesha nia njema ya kuhakikisha ushirikishwaji, na haki kupitia uteuzi kwenye nyadhifa za serikali na miradi ya maendeleo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive