Kenya iko katika hatari ya kusalia nyuma katika jitihada zinazoendelea za kulinda watoto mtandaoni. Wataalamu wa usalama wa watoto wanaonya kwamba maudhui hatarishi ya kidijitali, yakiwemo yale yanayoundwa na akili mnemba , yanabadilika kwa kasi kuliko sheria zinazopaswa kuyadhibiti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive