Taharuki imetanda kwenye mtaa wa Jamhuri jijini Nairobi huku wakazi wakidai kubomolewa kwa vibanda ambavyo wanasema vimemekuwa ngome za uhalifu, ulanguzi wa mihadarati na maovu mengine ya kijamii. Wakazi wanasema vibanda hivyo haramu vimejengwa kwenye mifereji ya kuondoa maji taka na mabomba ya maji, hali inayosababisha kupotea kwa maji mara kwa mara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive