Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya kitamaduni ya Lamu yaandaliwa

  • | KBC Video
    93 views
    Duration: 1:27
    Maelfu ya washiriki wamehudhuria tamasha mashuhuri ya kitamaduni yaLamu ambayo huandaliwa kuonesha turathi za jamii ya wa-Swahili. Wakazi wanasema tamasha hiyo sio muhimu kwa kuangazia utamaduni tu, bali pia inapiga jeki uchumi wa eneo hilo. Wenye hoteli, wahudumu wa mashua na wafanyabiashara wamevuna pakubwa kutokana na idadi kubwa ya watu wanaohudhuria tamasha hiyo ya siku tatu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive