Idara ya utabiri wa Hali ya Hewa humu nchini imeitaka jamii kujumuisha watoto katika mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi kwa kuwaelimisha na kuwapa fursa za kuchangia katika kutafuta suluhisho. Idara hiyo inasema watoto wanakabiliwa na hatari za athari za mabadiliko ya tabianchi, ikiwemo hali mbaya ya hewa, majanga, na uchafuzi wa hewa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive