Shirika lisilo la kiserikali limeweka mtambo wa kawi ya miale ya jua ya thamani ya shilingi milioni 4.3 katika Kiwanda cha Kusafisha Maji cha Kambi ya Juu, Kaunti ya Isiolo, ili kupunguza gharama za umeme na kuboresha huduma ya maji kwa wakazi wa eneo la Bulapesa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive