- 134 viewsDuration: 1:17Zaidi ya familia elfu-3, kutoka mtaa wa Marachi mjini Busia zimepokea msaada wa vyakula na bidhaa nyingine za kujikimu kutoka kwa ofisi ya Katibu Mkuu Mwandamizi, Arthur Osiya. Msaada huo ilijumuisha mifuko 300 ya mchele na mifuko 200 ya maharagwe. Shehena hiyo inatarajiwa kuwasaidia mayatima na wajane katika eneo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive