Skip to main content
Skip to main content

Ifahamu China: Uhifadhi Wa Panda

  • | KBC Video
    91 views
    Duration: 2:38
    Katika Makala ya ifahamu China tunaangazia Kituo cha Uhifadhi na Utafiti wa Panda Wakubwa cha China ambacho kimezindua rasmi kituo kipya katika Jiji la Mianyang, Mkoa wa Sichuan, hatua ambayo ni mafanikio makubwa baada ya ujenzi uliodumu kwa kipindi cha miaka mitatu. Kituo hicho kipya, kinalenga kuimarisha juhudi za uhifadhi, utafiti wa kisayansi, na ustawi wa panda wakubwa huku kikitoa mazingira bora zaidi kwa maendeleo ya vizazi vipya vya wanyama hao adimu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive