Skip to main content
Skip to main content

Sakaja atetea wito wa kuweka fedha za kaunti benki ya Sidian

  • | KBC Video
    190 views
    Duration: 2:03
    Gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja, ametetea uamuzi wake wa kuhamisha usimamizi wa fedha za hospitali za kaunti hadi kwenye benki ya Sidian akisema ina viwango bora vya riba ikilinganishwa na benki nyingine. Akiwa mbele ya kamati ya bunge la seneti kuhusu ugatuzi, Sakaja alisema serikali ya kaunti inapania kuhamishia akaunti zake zote hadi benki ya Sidian akisisitiza kwamba hakuna sheria iliokiukwa kwenye hatua hiyo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive