Juhudi za kuwalinda na kuwawezesha wasichana katika eneo la Pwani zinaendelea huku zaidi ya wasichana 500 kutoka kaunti tano wakikusanyika katika Kaunti ya Mombasa kabla ya kampeni ya siku 16 ya utetezi dhidi ya dhulma za kijinsia duniani. Wasichana hao waliokusanyika kwa mkutano wa 7 kuhusu masuala ya mtoto wa kike, walifanya majadiliano ya wazi kuhusu dhulma za kijinsia, afya ya uzazi pamoja na afya ya akili.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive