Waziri wa fedha John Mbadi amewarai wafuasi wa chama cha ODM kuendelea kuunga mkono serikali jumuishi. Akizungumza huko Uriri, katika kaunti ya Migori , Mbadi alisema mpangilio wa sasa ndio njia bora zaidi kwa nchi hii, huku akiwahimiza wakenya kuepuka siasa za migawanyiko. Mbadi alisema kusalia serikalini ndio njia bora zaidi ya kuenzi urathi wa marehemu Raila Odinga
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive