Utathmini wa kimataifa umefichua uwepo wa mianya katika elimu ya msingi miongoni mwa watoto katika kaunti 12, ikiwemo Kenya. Matokeo ya utathmini huo, yalitolewa leo jijini Nairobi wakati wa kikao kilichoandaliwa na shirika la People’s Action for Learning yaani PAL Network. Aaron Marie alihudhuria kikao hicho na kutuandalia taarifa ifuatayo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive