Kampuni ya Mars Wrigley imewekeza shilingi bilioni 4.3 kwa upanuzi wa shughuli zake za utengenezaji pipi humu nchini. Meneja mkuu wa kampuni ya Mars Wrigley, kanda ya Afrika kusini mwa jangwa la Sahara, Ismael Bello amesema kampuni hiyo inanuia kutumia Kenya kama kitovu cha usambazaji wa pipi kwa mataifa ya bara hili. Yafuatayo ni makala yetu ya Kapu la Biashara.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive