- 41,619 viewsDuration: 6:05Tuanze katika eneo bunge la Malava ambako uchaguzi wa leo umekumbwa na machafuko na uvamizi huku magari ya viongozi kadhaa wa kisiasa eneo hilo yakiteketezwa. Miongoni mwa magari hayo ni moja la kinara wa DAP-K Eugene Wamalwa pamoja na lile la mgombea wa chama hicho Seth Panyako