Skip to main content
Skip to main content

Kapu la Biashara | Sekta ya kibinafsi yahimizwa iongeze uwekezaji katika kilimo

  • | KBC Video
    91 views
    Duration: 2:24
    Sekta ya kibinafsi imehimizwa iongeze uwekeze wake katika nyanja ya kilimo ili kukidhia nakisi ya bajeti. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe alisema uwekezaji wa sekta ya kibinafsi ni muhimu katika utekelezaji wa hatua za sera zinazohitaji mtaji mkubwa kuhudumu. Taarifa kwa kina ni katika mseto ufuatao wa biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive