Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto autaja ushindi kwenye chaguzi ndogo kuwa kiashiria cha imani kwa serikali

  • | KBC Video
    417 views
    Duration: 3:34
    Rais William Ruto ameutaja ushindi kwenye chaguzi ndogo za ubunge hapo jana kuwa ishara ya imani ya wakenya kwa serikali jumuishi. Akiwapongeza washindi wa vyama vya ODM na UDA katika maeneo bunge ya Mbeere Kaskazini, Malava, Banissa, Ugunja, Kasipul, Magarini na Baringo, Rais aliwaonya viongozi wa upinzani kwamba malumbano yao ya kisiasa hayatawasaidia kushinda uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive