Skip to main content
Skip to main content

Harrison Kombe achaguliwa mbunge wa Magarini kwa mara nyingine

  • | KBC Video
    303 views
    Duration: 4:39
    Harrison Kombe amechaguliwa kwa mara nyingine kuwa mbunge wa Magarini. Kwenye uchaguzi mdogo ulioandaliwa jana, mwaniaji huyo wa chama cha ODM alijizolea kura 17,909, ambayo ni asilimia-64 ya kura 27,808 zilizopigwa. Stanley Kenga wa chama cha DCP aliibuka wa pili kwa kura 8,907. Akitangaza matokeo hayo kwenye chuo cha mafunzo anuwai cha Mapimo, ambacho kilikuwa kituo cha kujumlisha matokeo, msimamizi wa uchaguzi katika eneo bunge hilo Joseph Mwafondo alifichua kwamba asilimia-34.5 ya wapigaji kura 80,128 waliosajiliwa walijitokeza kutekeleza wajibu wao wa kikatibu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive