- 1,417 viewsDuration: 4:11Ujenzi wa barabara ya Rironi-Mau Summit utakamilika kufikia mwezi Mei mwaka 2027. Akiongoza uzinduzi wa ujenzi wa safu mbili za barabara hiyo, rais William Ruto alisema mradi huo utaashiria hatua ya mabadiliko katika safari ya miundo msingi ya Kenya, na kutoa fursa ya uchukuzi wa haraka, usalama barabarani na ushirikiano thabiti wa kibiashara katika kanda ya Afrika mashariki. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive