Skip to main content
Skip to main content

Hakuna atakayebaguliwa katika mradi wa NYOTA, asema Oparanya

  • | KBC Video
    54 views
    Duration: 1:58
    Mpango wa vijana kupata fursa za kitaifa ili kujiendeleza wa NYOTA hautazingatia viwango vya masomo. Waziri wa ustawishaji vyama vya ushirika vya akiba na mikopo, biashara ndogo ndogo na za kadri Wycliffe Oparanya amesema mpango huo unawapa vijana wote wa Kenya fursa ya kunufaika mradi wawe na umri wa kati ya miaka 18 na 29 na hadi umri wa miaka 35 kwa wale walio na ulemavu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive