Wanawake wamehimizwa kuchukua majukumu ya uongozi bila hofu, hususan katika sekta ambazo hawajawakilishi ipasavyo. Wito huo ulijiri wakati wa hafla ya mradi wa ukuzaji uongozi wa Athena-AMLP ambao uliasisiwa na mshauri wa rais kuhusu masuala ya usalama wa taifa, balozi Dkt Monica Juma. Mradi huo unanuiwa kukuza ujuzi wa uongozi wa kimkakati miongoni mwa wanataaluma wa kike katika nyanja kama vile usalama, udiplomasia, kawi na teknolojia.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive