Skip to main content
Skip to main content

NTSA yaonya madereva dhidi ya kuendesha magari wakiwa walevi

  • | KBC Video
    373 views
    Duration: 4:18
    Huduma ya taifa ya polisi na halmashauri ya uchukuzi na usalama barabarani NTSA zimewaonya madereva dhidi ya kuchangia janga la kitaifa linaloweza kuepukika kupitia kuendesha magari wakiwa walevi, kuendesha kwa mwendo wa kasi na kutozingatia sheria wakati wa kipindi cha sikukuu. Wakiwa kwenye tamasha ya usalama barabarani jijini Nairobi, mashirika hayo yalisema kuwa taifa hili linapoteza maisha ya watu si kwa ajali pekee bali kutokana na ukosefu wa nidhamu barabarani. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive