Skip to main content
Skip to main content

Gachagua ashtumu Sakaja kwa vurugu iliyozuka kanisani

  • | KBC Video
    344 views
    Duration: 2:43
    Kinara wa chama cha Democracy for Citizens Rigathi Gachagua anaishtumu serikali na gavana wa kaunti ya Nairobi Johnson Sakaja kwa kuchochea ghasia zilizoshuhudiwa wakati wa ibada kanisani aliyohudhuria mtaani Kariobangi, jijini Nairobi. Naibu rais huyo wa zamani anadai kwamba wahuni walipelekwa kuwashambulia waumini kanisani huku maafisa wa polisi wakiwarushia waumini gesi ya kutoza machozi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive