Skip to main content
Skip to main content

Vituo saba vya uhifadhi wa watoto huko Kwale vyafungwa

  • | KBC Video
    252 views
    Duration: 1:54
    Mahakama kuu huko Kwale imeagiza kufungwa kwa vituo saba vinavyotoa hifadhi kwa watoto kwa madai ya kutosajiliwa huku zikihusishwa na madai ya ulanguzi wa watoto. Jaji Naikuni Lucas Lepares wa mahakama ya mazingira na masuala ya ardhi huko Kwale alisema makao hayo yanakisiwa kuhusika na ulanguzi wa watoto nje ya nchi hii ambako haki zao zinakiukwa. Alisema haya wakati wa sherehe za kufunga maadhimisho ya mwezi wa watoto kwenye mahakama ya Msambweni. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive