Skip to main content
Skip to main content

Tamasha ya vijana wa dhehebu la Akorino yaandaliwa

  • | KBC Video
    223 views
    Duration: 2:35
    Vijana wa dhehebu la Akorino kutoka kaunti 11, walikongamana katika eneo la Dagoretti huko Kikuyu kwa tamasha maalum iliyolenga kuonesha talanta zao mbali na utambulisho wao wa kidini. Tamasha hiyo iliwaleta pamoja wasanii, wacheza ngoma na wabunifu ambao walinuia kuondoa dhana kwamba dhehebu hilo linazingatia itikadi kali. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive