Skip to main content
Skip to main content

Rais Ruto apokea hati za mabalozi sita wa kigeni

  • | KBC Video
    317 views
    Duration: 2:52
    Rais William Ruto leo aliongoza hafla muhimu ya kidiplomasia katika Ikulu ya Nairobi ambapo alipokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi sita wapya. Hafla hiyo inaashiria mwanzo wa ushirikiano mpya wa kidiplomasia na kuimarika kwa mahusiano ya kimataifa kati ya Kenya na mataifa hayo sita. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive