Mkuu wa Utumishi wa Umma, Felix Koskei, amezitaka wizara, idara na mashirika ya serikali kuwasilisha taarifa sahihi za fedha kwa wakati, akisema kuwa ukaguzi wa mapema ni muhimu katika kuboresha utoaji huduma na kuhakikisha Bunge linapitisha ripoti za ukaguzi kwa wakati unaohitajika. Koskei amehimiza taasisi hizo kuzingatia makataa ya kuwasilisha taarifa zao akionya kwamba watakaochelewesha au kutoaji taarifa zenye kasoro hawatasazwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive