Skip to main content
Skip to main content

Khalwale atemwa nje kama kiranja wa walio wengi bungeni

  • | KBC Video
    839 views
    Duration: 3:19
    Seneta wa Kakamega Bonny Khalwale ameondolewa kwenye wadhifa wa kiranja wa walio wengi bungeni. Katika taarifa yake, spika wa bunge la seneti Amason Kingi, alisema kuwa chama tawala kiliamua kumpa wadhifa huo seneta wa Bungoma Wafula Wakoli. Kwa muda sasa, seneta huyo matata amekuwa akiangaziwa kwa kutofautiana na chama chake. Hayo yakijiri, wabunge sita waliochaguliwa katika bunge la kitaifa na mmoja katika bunge la seneti wameapishwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive