Zaidi ya watoto 1,700 kutoka makao 25 ya watoto katika Kaunti ya Nairobi walipokea zawadi ya mapema ya Krismasi iliyojumuisha tani 15 za chakula na vifaa muhimu vya thamani ya shilingi milioni 3.5, kutoka kwa Ayyappa Seva Samaj, ambalo ni shirika la kijamii la Kusini mwa India.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive