Skip to main content
Skip to main content

Kaimu mwenyekiti wa Hass Petroleum apoteza zabuni ya Upper Hill

  • | KBC Video
    233 views
    Duration: 58s
    Mwenyekiti wa kampuni ya Hass Petroleum Group Limited, Abdinasir Ali Hassan, amepata pigo kubwa baada ya kupoteza ombi la kupata umiliki wa kipande cha ardhi chenye thamani ya shilingi bilioni 1.2 kilichopo katika eneo la Upper Hill, kaunti ya Nairobi. Akisoma uamuzi huo, jopo la majaji watatu wa mahakama ya rufaa wakiongozwa na majaji Wanjiru Karanja, Mumbi Ngugi na Aggrey Muchelule, walitupilia mbali kesi hiyo, wakisema haikutimiza viwango vya kisheria vinavyohitajika. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive