Skip to main content
Skip to main content

Serikali kuu na kaunti zachukua hatua kukabiliana na ukame

  • | KBC Video
    196 views
    Duration: 3:37
    Viongozi wa serikali ya kitaifa na zile zinazokubaliana kuhusu hatua za dharura na za kudumu za kushughulikia hali ya kiangazi inayokithiri nchini ikiwemo kubadili miradi muhimu ya kilimo iliyofadhiliwa na benki ya dunia ili kuupa umuhimu utoaji misaada ya dharura huku wakiweka misingi ya kuchukua hatua za kudumu. Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe alisema kuwa hatua za kushughulikia athari za kiangazi zitachukuliwa kuwa za viwango vyote vya serikali ambapo ufugaji, mimea na riziki za watu zikishughulikiwa kama mfumo mmoja uliounganishwa. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive