Eneo la Kirigiti, kijiji cha Waironjo, katika kaunti ndogo ya Kiambu, ajuza mmoja anakesha kwenye kibaridi baada ya kufurushwa kutoka shambani mwake. Haya yanafuatia madai kuwa wapwa wa marehemu mume wake walianza kumtishia, wakimtaka aondoke kwenye ardhi hiyo. Mengi zaidi na mwanahabari wetu Aaron Marie.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive