Skip to main content
Skip to main content

Athari za mabadiliko ya tabianchi zakithiri

  • | KBC Video
    18 views
    Duration: 1:59
    Mashirika ya kiraia barani Afrika yameelezea kufadhaishwa na ahadi zisizotimizwa ambazo zimetolewa kwenye makongamano kuhusu hali ya anga kwa muda wa miaka minane iliyopita. Mashirika hayo yanasema licha ya ahadi ya ufadhili wa mbinu za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, mataifa yanayoendelea yangali yanakumbwa na athari za hali hii bila usaidizi wowote. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive