Skip to main content
Skip to main content

Biashara I Huenda Kenya ikajiunga na mataifa yanayouza mafuta ghafi

  • | KBC Video
    292 views
    Duration: 3:10
    Kenya huenda ikajiunga na mataifa yanayouza mafuta ghafi kuanzia mwaka ujao iwapo mipango inayoendelea itafaulu. Kenya inatarajiwa kuanza kwa kuzalisha mapipa 20,000 ya mafuta ghafi kwa siku chini ya awamu ya kwanza ya mpango wa ustawishaji wa uchimbaji mafuta katika eneo la Lokichar Kusini. Kiasi hicho kinatarajiwa kuongezeka hadi mapipa 50,000 kwa siku. Zifuatazo ni taarifa za gulio kwenye makala ya Kapu la Biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive