- 97 viewsDuration: 3:05Pendekezo la kukodisha kampuni ya uchakataji pareto litawasilishwa kwa baraza la mawaziri baada ya bunge la seneti kuliidhinisha. Waziri wa kilimoMutahi Kagwe amesema kiwanda hicho kiko kwenye hali duni huku kikizalisha shilingi milioni 35 pekee kila mwaka licha ya gharama ya juu ya uzalishaji pamoja na deni la shilingi bilioni 3.5. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive