- 1,531 viewsDuration: 3:36Kiongozi wa chama cha Democracy for Citizens Party (DCP), Rigathi Gachagua, amelaani vitendo vinavyodaiwa kuwa vya ukiukaji wa haki na ukatili wa polisi vilivyotokea wakati wa ziara yake mjini Narok leo alipokuwa akimpigia debe mgombea wa chama hicho wa wadi ya Narok mjini, Douglas Masikonde. Gachagua anadai kuwa mamia ya maafisa wa polisi waliweka vizuizi kwenye barabara ya Narok–Bomet katika eneo la Almashariani, kumzuia kutumia njia hiyo kuingia mjini Narok. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive