Skip to main content
Skip to main content

'Chuma chenu ki motoni' Rais Ruto awaonya wachochezi

  • | KBC Video
    18,076 views
    Duration: 4:04
    Rais William Ruto amewaonya wanasiasa dhidi ya kuwatumia vijana kuchochea vurugu, akisema serikali haitaridhia vitendo vya ukiukaji sheria. Akizungumza baada ya kuongoza mahafali ya Machifu na Manaibu 1,837 huko Embakasi, jijini Nairobi, Rais aliwataka viongozi hao wa utawala kuwa makini na kudhibiti vurugu katika maeneo yao huku taifa likijiandaa kwa uchaguzi mkuu wa 2027. Timothy Kipnusu na taarifa kamili. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive