Jamii za wafugaji zimeihimiza serikali kuharakisha shughuli za usajili wa ardhi ili kulinda haki za umiliki na riziki zao. Jamii hiyo imesema kuwa masuala ya ardhi ambayo hayajatatuliwa, tatizo la mabadiliko ya tabianchi, na mikataba isiyofaa ya uwekezaji, vinaendelea kutishia maisha yao. Taarifa kamili ni katika Mseto wa kaunti.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive