- 99 viewsDuration: 2:36Familia moja huko Kitengela, katika kaunti ya Kajiado inalilia haki kufuatia kifo cha mwanao wa umri wa miaka 22 katika hali ya kutatanisha kwenye jumba linaloendelea kujengwa. George Kariuki alifariki papo hapo baada ya kuanguka kutoka orofa ya tano ya jengo hilo. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive