Skip to main content
Skip to main content

Familia na marafiki wakusanyika kutoa heshima za mwisho kwa marehemu Festus Amimo

  • | KBC Video
    7,279 views
    Duration: 3:57
    Ndugu, jamaa na marafiki walikusanyika katika Kanisa Katoliki la St Andrew's kutoa heshima zao kwa marehemu Festus Amimo. Akikumbukwa kuwa mfanyakazi aliyejitolea, Amimo alitumia wakati wake kuwasaidia wale wasiojiweza katika jamii. Marehemu Amimo alitajwa kuwa mtu mwenye huruma na hekima ambaye alibadilisha maisha ya watu wengi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive