Kizaazaa kilizuka katika mahakama ya Ol-Kalou hivi leo, baada ya familia ya marehemu Angela Muthoni mwenye umri wa miaka 24, kupinga hukumu ya kifungo cha miaka mitano gerezani kilichotolewa kwa mshukiwa mkuu wa mauaji yake, na kuutaja uamuzi huo kuwa usio wa haki na wa kusikitisha. Hisia zilitawala huku jamaa wakidai hakuna shahidi aliyehojiwa katika kesi hiyo, ambayo ilianza miezi mitatu iliyopita. mengi zaidi kwenye mizani ya haki.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive