Gavana wa kaunti ya Nyamira Amos Nyaribo, ameng'atuliwa. Zaidi ya Wawakilishi wadi 23 kati ya 31 ambao waliohudhuria kikao cha bunge la kaunti hiyo leo, walipiga kura ya kumngatua gavana huyo. Hoja hiyo iliwasilishwa na mwakilishi wadi wa Bonyamatuta Julius Matwere. Nyaribo anashtumiwa kwa matumizi mabaya ya afisi na ukiukaji wa kanuni miongoni mwa shutma nyingine.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive